tatamajuva
Member
- Sep 11, 2019
- 74
- 84
Serikali kutopeleka fedha ya elimu bure kwa shule za sekondari na msingi kwa mwezi May 2022 kumesababisha usumbufu mkubwa kwa taasisi hizo kwani wameshindwa kununua vifaa vya shule, kukarabati majengo na vitu mbalimbali shuleni.
Serikali ni vyema ikatoa tamko kama imesitisha kutoa fedha ya elimu bure.
Chanzo kimoja kimesema kwamba serikali haina fedha kwa sasa na inatarajia kupeleka Sheria Bungeni ili kurejesha ulipaji wa Ada za shule.