0036 savage
Senior Member
- Apr 30, 2019
- 189
- 237
Maoni yangu,
Wafanyakazi wa bandari TPA ,TRA na wabunge wapunguziwe mishahara na posho ili hizo pesa zikasaidie kwenye afya.
Yote kwa yote kuna sababu gani ya msingi ya kumlipa mtu mapesa mengiiiii wakati elimu hana ni hicho chet cha form four chenye four ya mwisho na cheti cha bandari college ambacho chuo hicho hata akitambuliki kwa hadhi ya vyuo vikuu.
Kibaya zaid hadi askari wa getini analipwa m+ ya nini na kwann walimu,wauguzi na askari polisi wanalipwa pesa ya kawaida na kazi zao ni ngumu serikali ituachie ujinga iache kugawa pesa za walipa kodi kama njugu..