Serikali kupiga marufuku nywele bandia

Kizibo255

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
511
369
Kuna habari kuwa baada ya zoezi la waumish hewa na baadae simu hewa, zoezi linalofuata litakuwa ni kutambua watumishi wenye vyeti feki kufuatia zoez la kupiga marufuku nywele bandia almaarufu km mawigi na rasta nazinazofanana na hizo.
Hapa ndo shughuli itkuwa nzito lkn ni zoez jepesi kuliko yote coz zinaoneka tu kwa kila mtu.
Get ready
 
Teh!, nyie mnamtania Uncle Magu atawachapa, kwani huko Serikalini kazi zimeisha mpaka sasa serikali ianze kutukagua mavazi!, but if they're going after mashoga, they can easily go after our looks. Somebody is bored, teh!
 
Nakuhakikishia hili ndio litakuwa zoezi jepesi kuliko yote coz
1. Wahusika ni wanawake ambao by nature ni waoga na wanyeynyekevu na wasikivu
2. Nywele bandia hazihitaji ushahid wala vielelezo coz zipo kichwani
Yaan kwenye zoezi hili hakuna upembuzi yakinifu
 
Habari hizi mnaleta ni kweli au ni uropokaji? Toa maelezo yenye tija watu wachangie kwa umakini.
 
Yea U right, kama Serikali haina shughuli za maana za kufanya.

Poise kaona hii!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…