Serikali ya nchi ya hapa kazi tu baada ya muda mfupi kuwatimua watoto wa special program Diploma.... Sasa inafanya maamuzi ya kuwatumia walimu wastafu wa Sayansi kuziba pengo la uhaba wa walimu hao shule za Secondary..... Hawa wazee kiukweli kumudu kwa kazi tena ni kwa muda mdogo sana tofauti na wale watoto waliokuwa wanaandaliwa...