Nadhani mtoa mada umekuwa mzalendo, ila sisi watanzania wengi tunakwepa sana kodi na mwisho wa kwanza kulaumu.mm na wewe sidhani kama hata risiti tunaomba tunaponunua bidhaa.isitoshe hata trafik wapo wanaokaa barabarani na wapo wanaoendelea na shughuli maofisini.ila hawa jamaa wanambinu usiwaone kama wapo ofisini wakikuzukia na bahati mbaya rekodi zako ziwe mbaya utajua kumbe kwepa kodi noumaa.