daud madakama
New Member
- Sep 13, 2017
- 2
- 1
Mdau wa JamiiForums habari kwa majina naitwa DAUD MBUGA MADAKAMA mwenye namba ya simu 0787747300
Kupitia story of change naomba kuzungumzia technologia
Awali ya yote ujio wa technologia umekuwa limekuwa jambo jema na ambalo limeweka kutanua wigo wa biashara kwa sasa nchini tanzania watanzania sasa wanaangalia bidhaa na kuagiza bidhaa mbalimbali kutoka nje ya nchi mbalimbali hili ni jambo jema pia katika kupashana habari imekuwa ni rahis zaidi.
Aidha kuna changamoto nyingi zimelikumba taifa kupitia mikataba mbali mbali ya kitechonojia hapa nataka
kuzunungumzia BETTING
Wimbi la vijana wengi wa kitanzania wameingia kwenye uraibu wa kamali jambo ambalo sio jema kwa taifa mpaka sasa 75% ya vijana wameacha kufanya shughuli za uzalishaji kama biashara na kilimo na kujikita kwenye kamali wakitaka kupata pesa kwa njia rahisi kitendo ambacho kiasi chochote cha pesa wanachokuwa nacho wanapanga kukikuza kupitia kamali betting na bonanza ambapo vijana huambulia maumivu tu na wale ambao wanabahatika pia pesa zao hupotea kwa njia rahisi mno kama walivyoipata mara wanaposhinda huanza kujipongeza na starehe mbali mbali nimezungukia maeneo mbali mbali ya mkoa wa mara na mwanza nimeona vijana wengi utawakuta wamejazana wanabet imagine saa mbili mtu yupo betting naona nguvu kazi ya taifa imejikita kwenye kutafuta kupitia kamali.
Madahara ya tabia hizi nimakubwa mno baada ya miaka kadhaa taifa litajikuta na vijana wa hovyo mno nguvu kazi ta taifa itapotea kwasababu vijana wakipoteza pesa wanaingia kwenye utumiaji wa dawa za kulevya ili kutuliza mawazo ya pesa alizopoteza
#Magonjwa ya moyo ni magonjwa tarajiwa kwa vijana assume kijana anaweka tsh 5000 anabet ili patae 25m halafu timu moja inachana maumivu anayoyapata yanaweza mpekea strock/ kupararaizi.
# Migogoro ya ndoa pesa nyingi kutumika betting na familia kukosa mahitaji ya msingi hivyo ndoa nyingi kuvunjika na kupekelekea ongezeko la watoto wa mtaani.
#Uhalifu kama wizi na ujambazi vijana kujiua na ushoga kwa kukata tamaa kulingana na pesa alizopoteza.
NINI KIFANYIKE
Serikali iweke mikakati na juhudi za haraka kuzuia kadhia hii kwa kuweka sera sahihi juu ya mambo haya.
Pia bonanza zitolelewe maeneo ambayo yanafikiwa na watoto kirahisi maana hii imepekea hadi watoto kucheza kamali hizi.
#elimu itolewe kwa vijana na turudi kwwnye tamaduni zetu hasa kuwekeza kwenye kilimo ufugaji na biashara halali
#sheria zipitiwe upya na kama haitawezekana ofisi hizi za kamali zifunguliwe kuanzia sa tisa alasiri ili kuwapa vijana mda wa kufanya kazi
HITIMISHO
Kama taifa litaboreha na kufanyia kazi madhira haya tutaongeza uzarishaji halali ambao utaenda kuleta maendeleo kwa taifa na kama tunVyojua vijana ni nguvu kazi kwa taifa lolote duniani. Naambatanisha picha kadhaa kwa rejea
Naomba kuwasilisha.