ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 59,046
- 69,719
Serikali ya Dr.Samia imetangaza Zabuni za Kimataifa Kwa Ajili ya kuanza Ujenzi wa Standi Kuu za Mikuu yaani Regional Bus Terminals Kwa Mbeya na Arusha sanjali na Standi ya Mkoa ya Tabora,Geita na Kahama Kupitia mradi wa TACTIC unaofadhiliwa Kwa Mkopo wa WB.
Napenda kulipa heko Serikali ya Mama Kwa miradi hii sababu itabadilisha taswira ya Majiji ya Mbeya na Arusha ambayo Kwa miaka Mingi hayakuwa na Standi Kuu Zenye hadhi ya Jiji na uzito wa Mikoa husika na kubezwa vya kutosha.
Rai yangu ni kwamba chonde chonde tunaomba wahusika wajenge Standi Kali Zinazovutia na Zenye hadhi ya Jiji kama ilivyo Kwa Standi za Mwanza,Dodoma,Dar,Iringa,Tanga ,Mwenge na Morogoro.
My Take
Mwenye renders tunaomba mtuwekee maana link za NesT hazifunguki Ili kuangalia hizo architectural drawings zinavyofanania.