Serikali ijenge Makumbusho ya Muziki wa Dansi iliyosheheni vifaa, picha za wasanii, wa Muziki wa Dansi. Itakuwa kama sehemu ya Utalii

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
714
1,490
Kutokana mchango wake katika Sanaa ya Muziki, ni maoni yangu serika ijenge Musical Museum ambayo itaonesha vifaaa na picha za wasanii wa wamuziki wa Dansi.

Na mtangazaji nguli Mwanaethnomusicologist wa TBC taifa Masoud Masoud awe mkurugenzi mkuu wa Makumbusho hiyo.

Tutakuwa tumeitendea haki na kutunza tunu hii ya Muziki wa Dansi ambao umechangia kukuza Lugha ya Kiswahili nchini.
 
Back
Top Bottom