Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 471
- 1,817
Kama una muda na wewe ni mdau wa movie au series tazama hii series ya From ambayo kwasasa tupo Season 3.
Ni moja ya tambala kali sana. Watu mbalimbali kwa nyakati tofauti wakiwa na magari yao wanapotea.
Ukifika katika hilo eneo huwezi toka tena, Utazunguka na barabara mpaka umalize mafuta lakini unayokea hapohapo! Kizaazaa ndipo kinaanzia hapo sasa…
Usiku ukiingia kuna mauzauza ukizubaa unakufa!
Namna ya kutoka hapo ndio utamu za series ulipo itafute…