Serengeti Lite ndio habari ya Mjini

Nilikuaga ARUSHA maeneo ya sakina (milestone) walikua na promotion ya Serengeti light nikiwa nimetoka zangu triple A jamaa zangu wa hiyo kampuni waliweka kama bia 16 hivi mezani nilipiga bia zaidi ya 6 lakina hamna kitu (too soft) inabidi tuagize na nyagi tuboost then show ikahamia PICNIC
Serengeti lite is too soft with 3.5% alcohol.
Mi naona ni kama napoteza pesa yangu tu nikinywa hiyo bia. # shikamoo balimi
 
Pengine Serengeti Light za Arusha mkuu. Za Dar ni 4.0% Alc.
 
Nimeipenda sana hii bia, kulikuwa na promo hapa Dar done few days ago, tuliagiza crate moja tukapewa nyongeza 12 mtu tatu tukafuta bia 37
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…