Ccm walipokuwa wanaomba kura walinadi ilani yao na kipaumbele chao kilikuwa viwanda.
Cha kushangaza sasa hivi hii serekali ya Ccm kipaumbele chao kimegeuka ni Lissu na sio viwanda tena.
Endapo serekali hii ya ccm itaendelea kumfanya Tundu lissu ndio kipaumbele chao.Ifikapo 2020 hata kiwanda cha kukamua alizeti watakuwa hawajajenga.