Ndeonasiae
Senior Member
- Aug 15, 2011
- 102
- 49
- Thread starter
-
- #101
bahati nzur nimechagua fungu lililo sahihi sana.......kunung'unika uzeeni sikutaka toka mwanzo....na bahati nzuri upande niliopo hauruhusu hilo kutokea for the rest of my life...kwako wewe hili hulikwepi ni doa halitafutika na hapa umeleta uzi huu ili usaidiwe ila kama ulitegemea ushauri in one dimension hapa jf utapata in three dimension!!!....
ulitarajia upewejibu la ndio uko huru kufanya?!!! im sorry....wengi humu hatuishi na wewe yaliyokukuta ni yako na hatujui kisa kizima cha talaka kama Eiyer alivyosema9anashindwa hata namna ya kukusaidiaa. jana Preta alileta uzi muri wa kufundana sijui kama uliusoma.... ukiniambia mimi kuwa unadai talaka kisa mmeo anakupiga bila kutaja sababu ya kupigwa haiji akilini.... you are in a state of captivitity of negativity and its killing you slowly!!!....you a captive of your own identity living in prison of your own creation....pole sana...we dai talaka kwanza kisha undelee na mambo yako na hao watoto uwambie usiwafiche wamjue huyo uncle wao.......
Mamii nimemsoma Edson nimemwelewa hebu vuta kiti msome kwa kituo. Na ndipo ilipolalia point yangu ya kuwa kutengana kwa miezi nane ni muda mfupi sana kwa aliyetendwa na ampendaye akatendeka kuwa na mahusiano ya WAZI na mtu mwingine. Ingawa ninakuelewa uliposema kuwa ndoa yako ilikufa siku nyingi ndio maana nikauliza lile swali langu la kipuuzi ni muda gani umeishi na mumeo katika hali ya makasheshe? Kwa sababu kama alikutenda kwa muda mrefu, kwa nini umesubiri muda hadi mkatengana miezi nane iliyopita? Ulikuwa unavumilia nini?
There is no where I said I want to go back to him, nimejiridhisha kabisa wapendwa yani kwa rohosafi, nilikuwa napenda tu kujua je inakuwaje kuhusu mtu kuanzisha uhusiano mpya? unajua unafiki kwamba eti nikae maisha yangu yote bila mahusiano sidhani kama ni mzuri ndio maana kuna watu wanakumbwa na matukio watu wote wanabaki mmhhh hawaamini, wakati ni watu walio huru na wanaweza kufuata taratibu za kawaida, kuficha utamficha nani? mungu na watu baadhi wanakuona! and why should I tesa my moyo at first place?? nadhani ni vema tuongee ukweli, nadhani principles za maisha ya kufikirika zinashindwaga kwa kiasi kikubwa watu wanabaki kuongea mdomoni kuwa wao ni wasafi, kumbe!
Nakuelewa mamii, pole sana kweli umejitahidi kuvumilia. Ingawa lengo lilikuwa kujaribu kutoa nafasi nyingine ili kama mambo yakienda sawa ubaki naye but deep inside ulikuwa unampenda mumeo. Amekutenda nachelea kusema kuwa ukiuweka wazi uhusiano wako wa sasa kwa muda huu, hukawii kugeuziwa kibao mpenzi kuwa wewe ndo chanzo cha ndoa kupanganyika kwa kuwa ulikuwa na affair nje, unless uwezethibitisha kuwa umeianza baada ya kutengana na mumeo. Na Kwa nini umpe ushindi wa bure bwana?hoping things will get better ndio jambo lililonifanya niendelee kubaki lakini haikuwa hivyo.
Mamii nimemsoma Edson nimemwelewa hebu vuta kiti msome kwa kituo. Na ndipo ilipolalia point yangu ya kuwa kutengana kwa miezi nane ni muda mfupi sana kwa aliyetendwa na ampendaye akatendeka kuwa na mahusiano ya WAZI na mtu mwingine. Ingawa ninakuelewa uliposema kuwa ndoa yako ilikufa siku nyingi ndio maana nikauliza lile swali langu la kipuuzi ni muda gani umeishi na mumeo katika hali ya makasheshe? Kwa sababu kama alikutenda kwa muda mrefu, kwa nini umesubiri muda hadi mkatengana miezi nane iliyopita? Ulikuwa unavumilia nini?
Nakuelewa mamii, pole sana kweli umejitahidi kuvumilia. Ingawa lengo lilikuwa kujaribu kutoa nafasi nyingine ili kama mambo yakienda sawa ubaki naye but deep inside ulikuwa unampenda mumeo. Amekutenda nachelea kusema kuwa ukiuweka wazi uhusiano wako wa sasa kwa muda huu, hukawii kugeuziwa kibao mpenzi kuwa wewe ndo chanzo cha ndoa kupanganyika kwa kuwa ulikuwa na affair nje, unless uwezethibitisha kuwa umeianza baada ya kutengana na mumeo. Na Kwa nini umpe ushindi wa bure bwana?
Kongosho heri umeghusia hilo. Linapokuja suala la divorce watoto huwa hawafikiriwi kabisa. Kwa mfano kwa mleta mada amesema "Tuna watoto 2 naishi nao na kuwatunza kwa kila kitu they are fine and I dont have problem with that." Yupo confident hapo kuwa "they are fine" na hana "problem with that". It may sound OK lakini ame-take into account the likely impact of the intended new relationship kwa hao watoto? Halafu anaposema "new relationship" ana maana gani?
Devil give you hope where there is no hope. Tunaomba baada ya miezi 8 na huyo sweetheart mpya utupe ushuhuda, kama ulivyokuja na ushuhuda wa kumwacha mumeo after 8 months of separation.
....lol, MwanajamiiOne bana, hivi kweli hatuwezi fumbua hili bila kuulizia CV, DNA, na blood groups za wahusika? Tunapekua ya nini kwenye mivungu ya majumba ya watu ilhali mwenyewe hayupo tayari ku share?
Je? Kipindi gani ni muafaka wawe wameishi awali, kiasi kwamba kipindi alichotosheka na mumewe inakubalika baada ya miezi nane aombe msaada wa mawazo jf?
Acheni kumnyanyapaa bana....
Mleta mada.
Kwanza kumbuka kwamba umebeba vitu vizito viwili, namaanisha ndoa na watoto, siwezi kukulazimisha kubaki kwenye ndoa kwavile unajua wewe kilichokusibu lakini naweza kukushawishi tu kama unahisi kipindi cha kutengana kimemrekebisha mume wako basi at least for the sake of your kids kubali kusuluhisha na kuipa ndoa yako another go.
Separation imewekwa ili watu wajirudi, na kama wewe ni innocent (kwa maelezo yako) basi ni vyema ukapima upepo kwa mwenzio karekebishika vipi. Amini nakwambia aliyegundua kosa lake na akajutia ni bora kuliko huyo mume mpya unaemtafuta.
NAMALIZIA: Ndoa ambayo ishabarikiwa watoto inahitaji uvumilivu wa ziada ndio itolewe talaka. Kumbuka kwamba watoto wako wanakuhitaji wewe na baba yao ili na wao angalau wafurahie utoto wao.
Asanteni mabibi na mabwana
Nahisi kuna baadhi wanaingiza emotions za maisha yao binafsi huku jamii forums! Hi EDSON im just saying!
......................Lawyer!
There is no where I said I want to go back to him, nimejiridhisha kabisa wapendwa yani kwa rohosafi, nilikuwa napenda tu kujua je inakuwaje kuhusu mtu kuanzisha uhusiano mpya? unajua unafiki kwamba eti nikae maisha yangu yote bila mahusiano sidhani kama ni mzuri ndio maana kuna watu wanakumbwa na matukio watu wote wanabaki mmhhh hawaamini, wakati ni watu walio huru na wanaweza kufuata taratibu za kawaida, kuficha utamficha nani? mungu na watu baadhi wanakuona! and why should I tesa my moyo at first place?? nadhani ni vema tuongee ukweli, nadhani principles za maisha ya kufikirika zinashindwaga kwa kiasi kikubwa watu wanabaki kuongea mdomoni kuwa wao ni wasafi, kumbe!
Huyo mdada anafikiri kuanza mahusino ni swala rahis na watoto wake wawili!! utachemsha, rudi kwa mumeo muishi kama zamani.
Ni miezi kama nane tumeseparate na my hubby, na with that time nimejithibitishia I dont want to go back kabisa. Divorce processes are on (nikimaanisha tumeanza kulizungumzia kama familia za pande mbili bado haijafika mahakamani) japo kuna mvutano mkubwa jamaa hataki kabisa kuvunja hii ndoa (ambayo mimi najua imevunjika ila bado mambo ya kisheria tu). Im in my early 30s, Tuna watoto 2 naishi nao na kuwatunza kwa kila kitu they are fine and I dont have problem with that.
Ushauri:
1.Nikiwa kama binadamu wa kawaida honestly najisikia kama kuingia kwenye mahusiano tena, naomba mnisaidie muongozo wanaJF, Is it right to get into the relationship during separation? if yes to what level, kisirisiri au hata public? je ni upi muda muafaka (eg mwaka 1 au 2 au never) hasa unaoshauriwa kwa walioachana kuwa na relationship nyingine?
Kaunga hata kama angeenda kwa mwanasheria yoyote kuomba ushauri lazima angeulizwa kwanini anataka kumwacha mume wake na kuanza mahusiano mapya. Najua kuna watu wanakuja na specific question kuomba ushauri but when you question them unakuta tatizo ni kubwa zaidi ya walivyokuwa wanafikiria. Unakuta they didn't even consider implications for the decision they were about to take.Ushauri alioomba ni uhalali wa kisheria na kimaadili wa kuanza mahusiano mapya; kudos kwa wote waliompa mitazamo yao bila kufuata curiosities za kujua what real happened.
Anayetakiwa ku-consent kuwa na trial na mie ni yeye au mie? BTW kwenye hii trial, are you thinking with your brain or your mind?So EMT umeshawasiliana na Erotica kuhusu trial session this weekend!
klorokwini ukiamua unamwaga mapwenti....hahaha....ona sasa, unakaribia mrudisha shem wako kule kule....arrggh..