Kwa hali ilivyo ni dhahiri kuwa upinzani kwa sasa unahitaji semina elekezi..Lengo ni kubadilisha aina ya siasa wanayoifanya huku bado wakiwa na mentality ya JK wakati uhalisia ni JPM. Hii imesababisha wajikute katika matatizo kuanzia bungeni hadi uraiani..Aghalabu profesa Kitilla Mkumbo amekuwa akiwashauri mara kwa mara kubadili aina ya siasa kitu ambacho wameshindwa kabisa..upinzani umekosa ubunifu na kubakia static..
Mi nadhani huyu Dikteta Uchwara (kwa mujibu wa T. Lissu) ndo alistahili kupewa semina elekezi kwa maana ameshindwa kuzingatia utawala wa sheria na badala yake anaongoza kwa kutumia maono yake. Mwambieni abadilike la sivyo atajikuta anasababisha mrundikano wa wanasiasa wa upinzani kwenye magereza zote hapa nchini kwa kesi za kuwabambikia.
Kwani uongozi wa ccm kwanini wanashindwa kufuata katiba?, hizi harakati ndiyo zinazidi na kuwapa kick wapinzani, kwa kuthibitisha hilo Leo nyumbani kwa maghu mpaka sasa chadema wamechukua viti vya madiwani 7 Kati ya 11
Mleta uzi wewe na Fmilia yako ndo mnatakiwa kupewa semina elekezi,na hiyo ndiyo hasala ya kuwa na Division 5nasikia mmebadilisha jina tena la alama za ufaulu.kwani ule wimbo wenu wa BRN umefia wapi?au wewe NYUMBU wa kijani na manjano umeshasahau?
Kwa hali ilivyo ni dhahiri kuwa upinzani kwa sasa unahitaji semina elekezi..Lengo ni kubadilisha aina ya siasa wanayoifanya huku bado wakiwa na mentality ya JK wakati uhalisia ni JPM. Hii imesababisha wajikute katika matatizo kuanzia bungeni hadi uraiani..Aghalabu profesa Kitilla Mkumbo amekuwa akiwashauri mara kwa mara kubadili aina ya siasa kitu ambacho wameshindwa kabisa..upinzani umekosa ubunifu na kubakia static..
Yaani kitu ambacho hawakifahamu utawala uliopita ulikuwa unawaachia tu inawezekana kutokana na Hulka ya kiongozi sasahuyu anafuata taratibu na sharia, kanuni nk. wasipokubalki kuzifuata basi Siasa wataiona chungu! Na bahati mbaya siaia kwao wameigeuza Ajira ndiyo mbaya Zaidi!