Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,083
- 8,379
Weka picha
Mkuu mimi naweka order kabisa nitakupa $ 200 plus your asking price $100,ukiwa tayari kuiuza tafadhari nicheki kwa private massage.Hi cobbers,
bought brand new iMac and now I guess its time to sell
27" (really big screen),
iCore 7,
Ram 16Gb (2 slots to add more)1333MHz DDR3,
software OS X 10.9.5,
Graphics ATI Radeon HD 5750 1024Mb
Comes with 700Gb stored movies, wireless keyboard & mouse, origina parking box and suspension
Will be available late May
Price $100
Kuweni Makini na msipende vya bure na mtumie akili zenu hiyo Computer yenye sifa kama hizo tena i5 huuzwa TZS 4,500,000-5,500,000 Jiulize i7 itauzwa bei gani nawaonya tuu wadau kwa sababu mnaweza kutumbukia kwenye matatizo kwa kuwa huna uelewa wa mambo.
Ndo maana nasema ni Vyema Kutumia Ubongo kuliko kutumia Makalio Specification anazozungumzia zinaonesha ni Computer mpya mimi binafsi nazijua zenye Intel Core i5 hizi ndiyo mpya kwa apple lakini yeye amesema ina Intel Core i7 ni Computer Latest ambayo inaweza kuuzwa hata 7,000,000 na ina HDD 700GB Tumia akili za Kuzaliwa 2009 hatukua na i7 wala i5.Hiyo bei uliyoiandika labda ni kwa matoleo mapya sio kwa matoleo ya miaka sita nyuma huko. (Hapo pia sijasema kuwa seller ni mkweli maana bei aliyoiweka kwa muelewa unagundua kabisa hii biashara sio)
Ndo maana nasema ni Vyema Kutumia Ubongo kuliko kutumia Makalio Specification anazozungumzia zinaonesha ni Computer mpya mimi binafsi nazijua zenye Intel Core i5 hizi ndiyo mpya kwa apple lakini yeye amesema ina Intel Core i7 ni Computer Latest ambayo inaweza kuuzwa hata 7,000,000 na ina HDD 700GB Tumia akili za Kuzaliwa 2009 hatukua na i7 wala i5.
Mashine hizi Pia zipo katika Ofisi ya Rais pale Ikulu.
Mkuu nimeshindwa kuipiga picha kamera ya simu yangu haiko poa. Just insert hizo details google utaona
Huenda ni $1000 lakini imeandikwa $100
Mtoa mada ataibuka kukicha na majibu ya maswali yetuKama ni hivyo sasa mbona harudi kusema? Maana 100$ haitoshi kununua hiyo HDD (1Tb) na hizo RAM (16) pekee
Na Mimi nahisi alimaanisha $1000Huenda ni $1000 lakini imeandikwa $100
Ndo maana nasema ni Vyema Kutumia Ubongo kuliko kutumia Makalio Specification anazozungumzia zinaonesha ni Computer mpya mimi binafsi nazijua zenye Intel Core i5 hizi ndiyo mpya kwa apple lakini yeye amesema ina Intel Core i7 ni Computer Latest ambayo inaweza kuuzwa hata 7,000,000 na ina HDD 700GB Tumia akili za Kuzaliwa 2009 hatukua na i7 wala i5.
Mashine hizi Pia zipo katika Ofisi ya Rais pale Ikulu.
mkuu mimi nakupa kwa guantee ikiwa utampelekea mtaalam wako akakwambia sio yenyewe utarudishiwa pesa yako. Its genuine iMac 27''. Ukilog in tu kwanza it will tell you, hasa utakapoingia iCloud thru this machine. Nina uhakika kwa sababu nilinunua mpya and then nine-link na iPhone & iPad na ziko connected vzr tu. So kwa $1,000 is more than fareKuweni Makini na msipende vya bure na mtumie akili zenu hiyo Computer yenye sifa kama hizo tena i5 huuzwa TZS 4,500,000-5,500,000 Jiulize i7 itauzwa bei gani nawaonya tuu wadau kwa sababu mnaweza kutumbukia kwenye matatizo kwa kuwa huna uelewa wa mambo.