Selection of Advanced Levels 2023/2024

Roho zinawauma wanawake wanavyoinuliwa😂

Miaka ya 2000 kurudi nyuma watoto wa kike walinyimwa nafasi ya elimu kwasababu nyingi ikiwemo mila potofu, mimba na ndoa za utotoni.

Basi sasa hivi ndio wanafidia kwa kuwapa vipaumbele.
Mwanaume anayepata dvn 3 na mwanamke anayepata dvn 3 aliyefaulu ni mwanamke sababu anakutana na changamoto nyingi kuliko huyo mtoto wa kiume
 
div 3 ni 3 tu
 
Division 3 kama combination imebalance anaenda advance bila kujali jinsia yake.
 
Roho zinawauma wanawake wanavyoinuliwa😂

Miaka ya 2000 kurudi nyuma watoto wa kike walinyimwa nafasi ya elimu kwasababu nyingi ikiwemo mila potofu, mimba na ndoa za utotoni.

Basi sasa hivi ndio wanafidia kwa kuwapa vipaumbele.
Mwanaume anayepata dvn 3 na mwanamke anayepata dvn 3 aliyefaulu ni mwanamke sababu anakutana na changamoto nyingi kuliko huyo mtoto wa kiume
Ujinga mtupu na takataka uloandika.

Tunahitaji Taifa ambalo watu watachaguliwa sio Kwa sababu ya Jinsia .

yaan suala la kutongozwa ndio changamoto unayoona ngumu Kwa waschana?.

Watoto/wadogo wetu wa Kiume, mnajua mambo wanayoyapitia ?.
 
Wanafanya ivo kwasababu wawakip busy w.ke na kusoma ili wasizaliane sanaa hii ndo sababu kubwa ndo mna w.ke mpk wanafikia 37 hawajaolewa
 
Roho zinawauma wanawake wanavyoinuliwa😂

Miaka ya 2000 kurudi nyuma watoto wa kike walinyimwa nafasi ya elimu kwasababu nyingi ikiwemo mila potofu, mimba na ndoa za utotoni.

Basi sasa hivi ndio wanafidia kwa kuwapa vipaumbele.
Mwanaume anayepata dvn 3 na mwanamke anayepata dvn 3 aliyefaulu ni mwanamke sababu anakutana na changamoto nyingi kuliko huyo mtoto wa kiume
Wanavyobinuliwa!
 
Nadhani waaangalie na watoe nafasi kwa usawa zaidi.

Changamoto hakuna ambaye hazipitiii waachane na siasa.
 
Back
Top Bottom