Ndiyo maana siku hizi huwa vijana wanonja kwanza. Siyo kuzikosa nyeti ama kukuta nyeti zote 2 zipo tu. Kuna issue pia ya jamaa/ demu kuwa ana koroma kama simba mzazi ama ana kojoa kitandani usiku. Kuna issue ya incompatibility of genitalia..mwenzio bwawa wewe kibamia, ama ana mtwangio na mwingine tundu la sikio. Halafu yaweza tokea mwenzako ni kichaa wa kupenda ngono, wewe unataka aste aste ulale. Patachimbika!
Kuonja muhimu tena usiku kucha