chofachogenda
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 107
- 199
SEHEMU 2: JINSI WAZUNGU WALIVYOTOKEA DUNIANI
NGOZI NYEUPE
Miaka 8500 iliyopita Luxermburg,Hungary na Hispania ilikuwa imejazwa na watu weusi .Miaka 7800 iliyopita, waafrika kutokan Dfrika magharibi pia ambao walijulikana kama original Eurasians walifika ulaya na kusambaza jeni mbili ambazo noi SLC24A5 and SLC45A2.
Hizi jeni zinahusika mno na ngozi nyeupe. Watu wa Scandinavia eneo ambalo kuna baridi kali walianza mabadiliko ya ngozi miaka 7700 iliyopita. Wazungu wa kwanza wa Scandinavia walikuwa wamebeba jeni ya HERC 2/ OCA 2 amabyo ina mahusiano na ngozi nyeupe, blondy hair (nywelenyeupe) na macho ya blue.Na hawa waliweza kuyamudu hayo mazingira kulingana na kile ambacho nimekisema awali.Hivyo waliishi kw muda mrefu na uzao wao uliongezeka zaidi .
Kile ambacho haya masomo yote hayajaeleza kinaganaga kwamba je hizi jeni 3 zinafanya vitu tofauti au zinafanya kitu kimoja. Huu ndio msingi wa kila kitu, hizi jeni 3 ni jeni za ualbino (Albinism genes). Hizi jeni tatu kwa ujumla wake au kupitia watangulizi wake zinapatikana pia Africa.OCA 2 inahusika na aina ya ualbino uliosambaa sana unaopatikana Afrika.OCA maana yake ni Oculocutaneous Albinism.
Hii maana yake ni kwamba kulingana na mzingira ya ulaya ya kale asili (nature) iliiishia kurespond kwa kusambaza ualibino ili watu waweze kuyamudu mazingira.
Kwa kuwa waafrika ndio watu wa Afrika zaidi, kwa hiyo ualbino asili yake ni Afrika au tunaweza kusema ngozi nyeupe za wazungu asili yake ni Afrika.
Born in Africa, albinism is at the origin of the Europeans’ white skin
RANGI YA NYWELE NA MACHO
Kama ambavyo tunajua, ualbino ulaya unahusiana na rangi za nywele. Ndivyo ilivyo Afrika, nwele zao ni blondy ( nyeupe), japokuwa vilevile kuna watu wana nywele nyekundu ( red haired) bila kuchanganya uzao (race mixing). Ingawa nywele zao hazijasambaa miongoni mwa watu weusi lakini zipo au zinapatikana katika bara la Afrika. Kwa hiyo utofauti wa nywele za wazungu asili yake sio ulaya. Kwa hiyo utofauti huo wa nywele chimbuko lake ni Afrika lakini ukaongezeka ulaya . Kitu hicho hicho kinaweza kusemwa kuhusiana na macho ya blue na kijani.
Blond hair
red haired toddler
Typical albino African man with blond hair; Right: A partially albino African teenager with red-hair and freckles.
Blue-eyed and green-eyed Africans
NYWELE ZA KIZUNGU (STRAIGHT HAIR)
Tofauti ya y anywele na rangi ya macho inweza kuonekana ni genetic coincidence lakini ukweli wa mambo nii kwamba nywele za kizungu (staright hair) zilikuwa na mchango mkubwa sana kstiks kupambana na mazingira ya baridi ya kipindi hicho.Kulingana na mtaalamu wa Cosmetology Naturi Ebene ansema kwamba kutokana na jua kali la Afrika kichwa kilihitaji ulinzi kutokana na joto kali. Hii ndio sababu nywele zetu ni kipilipili (spiral shape) kuzunguka fuvu la kichwa.
Hiii ni tofauti katika hali ya hewa ya baridi kali, changamoto zilikuwa tofauti .Tunaweza sema kwamba kutokana na nywele za kipilipili (kinky hair) external respiratory organs zilikuwa exposed kwenye hali ya baridi na kupelekea kupata magonjwa kama mafua. Kwa kuwa na nywele ndefu kuelekea chini hii iliwasaidia kwa ulinzi wa viungo hivyo na kuwapa joto. Lakini pia kuna watu weusi kabisa na wana nywele hizi ( straight hair). Mfano India kuna Dravidians, Afrika watu kutoka kabila la Fulani na hawa ni waafrika halisi hawajachanganya na jamii nyingine.
Straight-haired Blacks from India also known as Dravidians
Straight-haired Borana woman from Kenya
MAUMBILE YA SURA NYEMBAMBA NA NDEFU
Je sura ndefu na nyembamba za wazungu zimetoka wapi?. Tunafahamu kwamba pua ndefu na matundu madogo ya pua ( narrow nostrils) in heat the air ,inafanya hewa kuwa na joto inapopenya puani kuliko pua pana na fupi kama za waafrika. Mfano katika hali ya kawaida kunapokuwa na joto tunafungua madirisha na kunapokuwa na hali ya baridi tunafunga madirisha kwa ajili ya kupata joto.Hiii inatuaminisha kwamba wazungu wa kwanza waliokuwa na pua fupi na pana waliugua sana magonjwa yaliyokuwa yanahusu upumuaji kuliko wale waliokuwa na pua nyembamba na ndefu. Kwa hiyo asili (nature) ikarespond kwa kufanya watu hao kuwa na sura ndefu ikiambatana na pua ndefu.Hata hivyo hata leo katika bara la Afrika kun watu wan sifa ya kuwa na sura pamoja na pua ndefu na nyembamba kwa mfano kwa mfano wafulani , wasomali na wanyarwanda (watutsi) na ni waafrika halisi hwajachanganya na race yoyote ile au jamii ya watu wengine. Na hiyo sifa ipo kwa wahi9ndi weusi wanaojulikan kama Dravidians. Kwa hiyo sura ndefu na pua ndefu za wazungu asili yake ni Afrika .
Kwa kifupi ,karibia sifa zote ambazo mtu mweupe au mzungu kiasili sio zake.Mtu mweupe au mzungu ni matokeon ya mtu mweusi kupanga upya jeni zake ili kuendana na mazingira ya hali ya baridi na hasa kwa kukosekana jua la kutosha.Ngozi nyeupe inayotokana na ualbino, nywele zao,nywele nyeupe(blondy hair), nywele nyekundu (red hair) macho ya bluu na ya kijani na sura ndefu na sifa ya maumbile yao zinapatikana Afrika ambazo zimeongezeka/zimesambaa zaidi ulaya.
Those who usually read our work may recognize this picture. On the left, there is a typical African skull with a short face and a protruding jaw (prognathism). Even in present time, this type of jaw is noticed on Egypt’s Sphinx or on Ramses II’s mummy. Finally, the African skull has an elongated head from the front part to the rear part (dolichocephaly). On the right, this is a typical white man’s skull: long face, jaw aligned with forehead, short head from the front part to the rear part (brachycephaly).
Blacks with thin facial features: a Dravidian, a Fulani and an ancient Iranian (Elamite).
JE WAASIA WALITOKEAJE?
Waasia nao nao ni watu weupe japo wanachukuliwa kama yellow people ( watu wa njano).Waasia pia wanabeba jeni ya ya OCA2 Kwa hiyo nao pia ni maalbino. Swali linakuja je yale macho yao madogo (slanted eyes) yanatoka wapi?
Hii sifa pia ya machio madogo (macho ya kichina) inapaitikana pia Afrika katika kabila la Wakhoisan. Wakhoisan inasemekana ni watu wa kale zaidi duiniani. Ingawa hawa wana sura za kiafrika na pua pana na ngozi zao mara nyingi ni nyeupe (light skinned) .Je mazingira ya kiafrika yalikuwa favored zaidi kwa kusambaa hii feature ya kiafrika ni mapema mno ikuhitimisha hili, ushaidi zaidi unahitajika ili kuthibitisha hii nadharia.
WATU WENGINE WENYE NGOZI NYEUPE E.G WAARABU, WALATINI N.K)
Katika miaka 5000 iliyopita mtu mweupe kutoka kaskazini Eurasia alikutana aliwasili mashariki ya kati na akakutana na mtu mweusi na akazaa hapo ndio ikawa mwanzo wa kuzaliwa semitic whites. Cheikh Anta Diop anaeleza katika Nations Negres et Cultures kwamba Akkadians wa Iraq walikuwa semic whites wa kwanza.Semitic whites wanatokana na muunganiko wa kati ya mtu mweusi na mweupe. Kwa hiyo waarabu ni muunganiko wa wazungu na waarabu weusi kutoka bara la Arabia.
White Berbers ni muunganiko wa jamii ya wazungu waliokuwa watumwa huko Arabuni na black berbers asili yao ni Maghreb.Uwepo wao duniani si zaidi ya miaka 1000.
Amerindians ( native Americans ) ni mchanganyiko wa jamii ya waasia miaka 5000 iliyopita na watu weusi kutoka marekani wakati walatino ni muunganiko wa wa wazungu ( European colonizers) na wahindi wekundu na uwepo wao duniani hauna zaidi ya miaka 500.
Watu wa kwanza katika kuanzishwa kwa Greco- Roman civilization walikuwa nani wamisri wa kale miaka 3500 iliyopita kutoka kwa watu weusi kutoka mashariki ya karibu ( near east) wanaojulikan pia kama Phoenicians kwa upande mmoja na kwa kupitia kwa wa Italy weusi wanaoitwa Etruscans kwa upande mwingine.Wakati wa chimbuko la European renaissance walikuwa Black Berbers kutoka Maghreb wanaojulikana kama Moors au Saracens miaka 1300 iliyopita. Hawa waafrika wote walijipenyeza kusini mwa ulaya kiasi kwamba idadi kubwa ya watu wa huko sio wazungu pure (sio wazungu 100%) kuliko wazungu wa upande wa ulaya magharibi wana nywele nyeusi na macho ya brown.
Kwa kifupi hivi ndvyo watu wa jamii mbalimbali walivyotokea duniani.
Black Arab
Hitimisho
Aina zote za binadamu chimbuko lake ni Afrika kutokana tafiti liyofanywa na Sarah Tishkof na wengine mwaka 2009 inathibitisha Waafrika wana jeni za aina mbalimbali ambazo baadae zilitawanyika duniani kote.
WAKO: BENJAMINS
CREDIT: Credit: AHHA (African History,Histoire Africaine)
SEHEMU 1: NAMNA WAZUNGU WALIVYOTOKEA DUNIANI