Sehemu inayotumia gharama kubwa katika ujenzi

Bosspraise

Member
Feb 10, 2020
52
38
Screenshot_20240726_153236_Gallery.jpg

JE UNAJUA SEHEMU GANI YA NYUMBA INA GHARAMA ZAIDI KTK UJENZI WA NYUMBA YAKO

SOMA HAPA KWA MAKINI, KISHA TOA COMMENT
NI SEHEMU GANI KATIKA UJENZI WA NYUMBA HUTUMIA GHARAMA KUBWA KULIKO SEHEMU NYINGINE

Nyumba mpaka ikamilike Ina sehemu nyingi Sana , na KUJENGA nyumba sio kitu kiurahisi Sana ....

watu wengi wanao tarajia KUJENGA mara nyingi huwa wanauliza

je hiii nyumba Ina I atumia tifali ngapi na bati ngapi ?

Ili kukamilisha ujenzi wa nyumba ni zaidi ya kujua idadi ya tofali na bati ....

gharama za kukamilisha nyumba yako zinaweza zikawa mara nne au zaidi ya gharama ambazo utatumia kununua tofali au bati

hili ni kosa watu wengi hufanya maamuzi ya ujenzi wa nyumba kwa kujua tuu idadi ya tofali na bati katika hiyo nyumba

gharama za kujenza nyumba huwa zinakuwa kubwa zaidi KUJENGA nyumba kunahitaji materials mbalimbali na gharama nyingine ambazo zinachangiwa kwa asilimia kubwa katika jumla ya gharama za ujenzi

kama unataka KUJENGA na unataka kujua gharama za ujenzi wa nyumba yako ni vzr ukayaweka. mawazo yako katika ramani kulingana na mahitaji yako .... ili kupitia ramani yako watalamu wakufanyie makadirio ya ujenzi (BOQ)

KWA uzoefu wetu , sehemu ya ujenzi wa nyumba inayotumia gharama kubwa KULIKO SEHEMU zote ni finishing ya nyumba. , ikifatiwa na kupaua nyumba

je unataka kujua gharama za ujenzi wa nyumba yako ili uwe rahisi kwako kutimiza malengo yako hatua kwa hatua

Tuna jenga tunachora ramani za nyumba na majengo mbalimbali kama utahitaji tukufanyie tu makadirio ya ujenzi wa nyumba yako ... tuu ... unaweza kuwasiliana na sisi zaidi 0742892195 call/text/Whatsapp
 
View attachment 3052779

Kama unaezeka kwa bati la Kisasa( msauzi) na finishing ya kibabe......hapo ndio utajua kujenga sio lele mama
 
Nikishakua na pesa ya kupaua,

ujenzi huwa nauona rahisi sana.

Finishing ya kawaida si gharama sana

Finishing kali itategemea na matumizi halisi ya nyumba
Nakubaliana na wewe mkuu........ kwenye kuezeka tena msouth + blundering ni balaa. Finishing ukiwa na haraka lazima moto ukuingie. Mimi haijawahi nitesa kwa kuwa huwa nafanya polepole mpk nyumba inakamilika.
Huwezi ezeka nusu nusu ila finishing ni wewe tu ukitaka kuumia unaumia kweli ukitaka ile taatibu ni wewe tu.
 
View attachment 3052779
JE UNAJUA SEHEMU GANI YA NYUMBA INA GHARAMA ZAIDI KTK UJENZI WA NYUMBA YAKO

SOMA HAPA KWA MAKINI, KISHA TOA COMMENT
NI SEHEMU GANI KATIKA UJENZI WA NYUMBA HUTUMIA GHARAMA KUBWA KULIKO SEHEMU NYINGINE

Nyumba mpaka ikamilike Ina sehemu nyingi Sana , na KUJENGA nyumba sio kitu kiurahisi Sana ....

watu wengi wanao tarajia KUJENGA mara nyingi huwa wanauliza

je hiii nyumba Ina I atumia tifali ngapi na bati ngapi ?

Ili kukamilisha ujenzi wa nyumba ni zaidi ya kujua idadi ya tofali na bati ....

gharama za kukamilisha nyumba yako zinaweza zikawa mara nne au zaidi ya gharama ambazo utatumia kununua tofali au bati

hili ni kosa watu wengi hufanya maamuzi ya ujenzi wa nyumba kwa kujua tuu idadi ya tofali na bati katika hiyo nyumba

gharama za kujenza nyumba huwa zinakuwa kubwa zaidi KUJENGA nyumba kunahitaji materials mbalimbali na gharama nyingine ambazo zinachangiwa kwa asilimia kubwa katika jumla ya gharama za ujenzi

kama unataka KUJENGA na unataka kujua gharama za ujenzi wa nyumba yako ni vzr ukayaweka. mawazo yako katika ramani kulingana na mahitaji yako .... ili kupitia ramani yako watalamu wakufanyie makadirio ya ujenzi (BOQ)

KWA uzoefu wetu , sehemu ya ujenzi wa nyumba inayotumia gharama kubwa KULIKO SEHEMU zote ni finishing ya nyumba. , ikifatiwa na kupaua nyumba

je unataka kujua gharama za ujenzi wa nyumba yako ili uwe rahisi kwako kutimiza malengo yako hatua kwa hatua

Tuna jenga tunachora ramani za nyumba na majengo mbalimbali kama utahitaji tukufanyie tu makadirio ya ujenzi wa nyumba yako ... tuu ... unaweza kuwasiliana na sisi zaidi 0742892195 call/text/Whatsapp
Hiyo nyumba hapo juu kupaua na blundering lazima maji utaita maaa, huko kwingine kama kafanya taratibu makali ya gharama yanapungua.

10M+ kutoa mara moja sio sawa na 10M+ ilotoka kidogokidogo.
 
Sah
Nakubaliana na wewe mkuu........ kwenye kuezeka tena msouth + blundering ni balaa. Finishing ukiwa na haraka lazima moto ukuingie. Mimi haijawahi nitesa kwa kuwa huwa nafanya polepole mpk nyumba inakamilika.
Huwezi ezeka nusu nusu ila finishing ni wewe tu ukitaka kuumia unaumia kweli ukitaka ile taatibu ni wewe tu.
Sahii kabisa mkuu,
Kinachoumiza kupaua,
Pesa inatoka nyingi kwa wakati mmoja
 
Binafs, Ujenzi wangu wote uwa naanza na kununua bati na kuchonga fremu za milango na madirisha.

Kisha ndo napata mzuka wa kuingia saiti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom