Sehemu 15 za kutazama movies & series bure (online) – no netflix, no stress!

HenrysoN

Senior Member
Mar 29, 2017
196
180
πŸ“Œ Burudani bila kulipia? Ndiyo, inawezekana!

Kwa mashabiki wa movies na series β€” kama wewe ni mpenda burudani lakini huwezi (au hutaki) kulipia Netflix, Showmax n.k., basi uzi huu ni kwa ajili yako.

Mimi binafsi natumia zaidi OnStream na HDToday hizi sio lazima VPN β€” apps kali ambazo zimenisaidia sana kutazama movies mpya bila matangazo mengi wala kusajili. Zipo nyingine kibao β€” 15 zote nimekuwekea hapa chini pamoja na picha na link. Twende kazi!

1. OnStream (App)

πŸ”₯ App mpya ya moto! Inakupa access ya movies na series za Netflix, HBO, Prime Video nk β€” bure kabisa. Easy to navigate.
πŸ“² Inahitaji kudownload kama APK.
πŸ”— https://onstream.to
OnStream

2. HDToday

πŸ’£ One of the best! Inatoa movies na TV shows mpya kila siku. Haina subscription wala akaunti β€” ingia tu stream.
πŸ”— Watch Movies Online Free | Watch Series HD Free
HDToday

3. PLEX

πŸ“Ί Inatoa movies, series, na live TV bure. Hakuna kusumbuliwa na ads nyingi.
πŸ”— Watch Free Movies Online with Plex

4. Tubi TV

πŸŽ₯ Inamilikiwa na FOX – iko legit. Maelfu ya movies, cartoons, na TV shows bure. Inahitaji VPN kwa Tanzania.
πŸ”— Tubi is the largest free movie and TV streaming service in the US. We are not available in Europe due to changes in EU laws.

5. Crackle

πŸ’« Sony wamefanya yao hapa – classics na new content zote zinapatikana bila malipo.
πŸ”— https://www.crackle.com

6. Popcornflix

🍿 All-rounder! Tazama action, comedy, horror, na zaidi β€” bure na bila hassle.
πŸ”— Watch Free Movies & TV Shows | Free Streaming | Popcornflix TV

7. Pluto TV


πŸ“‘ Kama DSTV ya bure. Ina channel nyingi pamoja na sinema.
πŸ”— Pluto TV: Watch Free Movies, TV Shows & Live TV Online

8. FilmRise


🎭 Home of documentaries na drama. Haina subscription β€” stream direct.
πŸ”— Film & TV Distribution | FilmRise

9. Vudu – Free Section


🎬 Hii app ina sehemu ya β€œMovies On Us” β€” tazama bure ukishafungua akaunti.
πŸ”— Service is not available in your region.

10. Freevee (Amazon)


✨ Amazon wameleta huduma hii ya bure, zamani ilikuwa IMDb TV.
πŸ”— https://www.amazon.com/adlp/freevee

11. YouTube – Free Movies


πŸ“Ί Channels kama Popcornflix, Maverick Movies n.k. zina movies legit bure.
πŸ”— https://www.youtube.com/user/popcornflix

12. Kanopy


πŸŽ“ Inahitaji library card (mostly Marekani) – ila quality ya documentaries iko juu.
πŸ”— Kanopy - Stream Classic Cinema, Indie Film and Top Documentaries

13. Roku Channel


πŸ“± Unapata content ya bure kupitia browser/app.
πŸ”— Roku

14. Xumo TV


πŸ“‘ Kama Pluto TV – ina channels live + movies.
πŸ”— Xumo Play

15. WatchDocumentaries.com


πŸŽ₯ Kama unapenda documentaries za ukweli – hii ni website yako.
πŸ”— WatchDocumentaries.com | Watch Free Documentaries Online

πŸ’‘ Bonus Tips:

  • Tumia VPN (kama ProtonVPN, Windscribe, Psiphon) kufungua tovuti zilizofungwa na ISP.
  • Kama uko Android, unaweza pakua apps kama Stremio, NovaTV, BeeTV, CineHub n.k.
  • Epuka kupakua apps zisizo rasmi bila uhakika β€” zinaweza kuwa na malware.

πŸ“£ Je, unatumia ipi zaidi?

Comment chini – tuambie favorite yako au ongeza nyingine unayojua ili tufurahie wote.
 
Back
Top Bottom