J jackson george Senior Member Sep 3, 2012 107 6 Jun 4, 2016 #1 Mm nikijana niliyemaliza mwaka 2015 udom. Nimesoma applied geology nipo morogoro msahada wa kampuni au sehem naweza pata internship position ili nipate kauzoefu kidogo Sio lazima malipo Ahsante
Mm nikijana niliyemaliza mwaka 2015 udom. Nimesoma applied geology nipo morogoro msahada wa kampuni au sehem naweza pata internship position ili nipate kauzoefu kidogo Sio lazima malipo Ahsante