Mimi ni mwanamke mtanzania ninaomba kazi kwa yeyote anayejua kama kuna nafasi kama hii nilio na ujuzi nayo Kama vile
Customer care
Secretarial
Office Assistance
Ninao uzoefu wa kutosha katika fani hizo hapo juu, kwa hiyo kwa yeyote mwenye kujua ama kama ana inestment inayohitaji mtu mwenye ujuzi huo hapo then plz niko hapa.
Asanteni sana.
Nina ujuzi na All secretarial activities including graphics designing(Kutengeneza fliers,business cards, certificates,photo editing etc)
Customer care and Receptioning nilishafanya kampuni mbalimbali so ujuzi pia ninao wa kutosha.
Ni hivyo tu Mkuu