Saudi Arabia kuendelea kutumia Dola ya Marekani katika biashara ya mafuta

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
13,935
16,773
Saudi Arabia itaendelea kutumia dola ya Kimarekani katika biashara ya mafuta baada ya kuona kwamba kuachana na sarafu hiyo yenye nguvu duniani itaiathiri uchumi wake.

Saudi Arabia bado haijathibitisha ikiwa inataka kujiunga na muungano wa BRICS na imesimamisha uamuzi huo kwa zaidi ya mwaka mmoja.

BRICS iliialika Saudi Arabia kujiunga na umoja huo wakati wa mkutano wa kilele wa 2023 na Ufalme huo bado haujakubali mwaliko huo na kutoa jibu. Baada ya kuamua kuhusu BRICS, kampuni kubwa ya mafuta ya Saudi Arabia Aramco imeanza kutoa bondi za dola za Marekani.

=========

Saudi Arabia is yet to confirm if it wants to join the BRICS alliance and has kept the decision on hold for over a year. BRICS invited Saudi Arabia to join the bloc during the 2023 summit and the Kingdom is yet to accept the invitation and provide an answer. On the heels of deciding on BRICS, Saudi Arabia’s state-run oil giant Aramco has started issuing US dollar-denominated bonds.

These bonds are solely aimed at institutional investors. The issuance is managed by leading US banks such as Citi, Goldman Sachs, JP Morgan, HSBC, Morgan Stanley, and SNB Capital, among others. Therefore, Saudi Arabia is working closely with the US institutional banks for the dollar-denominated bonds while pausing the BRICS invitation.​

saudi arabia us isa flags brics


Source: voanews.com

Aramco confirmed that the US dollar-denominated bonds will have a minimum subscription of $200,000 as the base offering price. The US dollar bonds from Saudi Arabia’s Aramco come at a time when BRICS kick-started the de-dollarization initiative. The development indicates that the Kingdom doesn’t want de-dollarization, as its economy thrives with the help of the US dollar.

The US dollar-denominated bonds will begin issuance from July 9 to 17, 2024, and could be more than $12 billion. The joint bookrunners include Abu Dhabi Commercial Bank, BofA Securities, and Emirates NBD Capital Limited, among others. These banks will work closely with the US institutional funds to process the US dollar bonds seamlessly. The move suggests that Saudi Arabia might reject the BRICS invitation as it wants the US dollar to flow into its economy.

However, Saudi Arabia has not officially confirmed if it wants to join BRICS or reject the invitation. We have to wait and watch for an official statement from the Kingdom on its decision to join the alliance.​

After Pausing BRICS, Saudi Arabia Starts Issuing US Dollar Bonds
 
Utafika wakati itapigiwa mruzi Mmoja TU na kuulizwa mnaachana na dollar au la!Wawaulize Israel kiherehere chao Cha kupeleka siraha Ukraine,mpaka Leo wanapapaswa na Hizb-Allah wanashindwa kujibu wakijua Nini kitafatia.
 
Dola hata china wanaitumia hakuna nchi duniani kwa sasa inaweza kukwepa matumizi ya dola
 
Mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi kujiondoa kwenye malipo ya Dola. Russia anajaribu kuwadanganya wenzake kwa sababu yeye kapigwa ban. Hakuna nchi ya namna hiyo RSA ilikuwa inahisi mambo yatakuwa marahisi.
 
Back
Top Bottom