Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake na malengo yake yaangushwe

nuporo

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
1,534
3,378
Saudi Arabia haiwezi ingilia mgogoro haiwezi kubali uchumi wake, majengo na malengo yake ya muda mrefu yaangushwe.

Kwa sababu ya kuingilia vita na watu waliokubali magaidi wawe sehemu yao.

Week iliyoisha saudia Arabia, Israeli na Palestine walikuwa kwenye makubaliano ya amani..

Lakini kwa tukio lilotokea siku ya jumamosi netanyau kaapa Gaza itakuwa sio sehemu ya mnyama yeyote kuishi

Haiwezekani Mvamie watu na kuanza kuwaua na kuanza kujipiga selfie.

20231009_173042.jpg
 
By December HAMAS hawatakua watawala wa Gaza, operation hii aliyewashauri kuifanya wataijutia,ni amani ya kukutana kwenye Meza ndio yenye ukweli, Hamas wamefanya uamuzi wa kipumbavu mno
 
Ila tukubali tu na hayo Mayahudi nayo ni mabaguzi, makatili na mauaji. Hivyo wacha na yenyewe yapate funzo.
 
Back
Top Bottom