Sasa Utaweza Kuosha Simu yako Kwa Maji na Sabuni

Amanijoseph86

Member
Jun 18, 2015
13
18
Habari wana JF, leo nimeona ni share na nyie huu ugunduzi uliofanyika nchini japan, Kampuni moja ya huko japani imeweza kutengeneza simu yenye uwezo wa kuoshwa kwa sabuni na maji tena hata maji ya moto.

Simu hiyo inategemewa kupatikana huko japan pekee, kwa sasa kama unataka kuangalia video ya simu hiyo ikiwa inaoshwa tembelea tovuti hii Rafre Simu Kutoka Japan Yenye Uwezo wa Kuoshwa na Sabuni

Hebu tuambizane mnaonaje kuhusu hili..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…