Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 5,870
- 16,819
🤣🤣🤣Hii ni laana! Bora mmama upigwe! Mimi nadhani huyo sio mwanamke! Kavaa mavazi ya kike kwasababu huyo mwamba anaonekana kakwidwa na muscles za nyati! Sio poa!
Wengi tuTukisema wanaume wanapigwa na wake zao ila hawasemi mnakataa
na wewe ni miongoni mwa wapigaji, uliwahi sema 😅Tukisema wanaume wanapigwa na wake zao ila hawasemi mnakataa
Mwanangu muulize huyo mwanamke anae ndugu ani unganishie🤣🤣
Hili iweje? Unataka kibondo au?Mwanangu muulize huyo mwanamke anae ndugu ani unganishie🤣🤣
🤣 hizo nguvu nizitoe wapi mkuuna wewe ni miongoni mwa wapigaji, uliwahi sema 😅
Sijawahi kupigana wala kupiga mwanamke tangu ujana mpaka uzee unanianza ila nimekuwa nikiiamini mwanamke kwangu ni kiumbe dhaifu sana kupigana nachoHili iweje? Unataka kibondo au?