Inawezekana kuna watu bado hawajaelewa vizuri maana ya No Reforms No election.
Maana yake ni kwamba:-
1. Hakuna atakayeruhusiwa kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi kama Katiba na Sheria bora za Uchaguzi havijarekebishwa.
2. Hakuna atakayeruhusiwa kushiriki kwenye mkutano wowote ule wa kampeni kama Katiba na Sheria bora za Uchaguzi hazijatungwa.
3. Hakuna atakayeruhusiwa kusimamia uchaguzi katika Kituo chochote kile kama Katiba na Sheria bora za Uchaguzi hazijatungwa.
Kupuuza maagizo hayo itakuwa ni sawa kabisa na kupima uwepo wa umeme kwa kutumia kidole.