Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,782
- 239,459
Huu utaratibu wa Wanachama Wajinga wa CCM kujitokeza kwenye hafla za Kitaifa huku wakiwa wamevaa sare chakavu za chama chao ni suala linalotakiwa kupigwa marufuku , kwa sababu linadhalilisha Taifa
Naangalia maadhimisho ya miaka 60 ya JKT nashangaa sare za ccm zilizopauka kutokana na kuchakaa zimetapakaa , cha kusikitisha wengi waliozivaa hata ukiwaangalia usoni wanaonekana hawakunywa hata Chai kutokana na dhiki inayowakabili , huku viongozi wao wanaofaidi Utamu wa nchi wakiwa wamevaa mavazi ya Mitoko , zikiwemo Suti .
Uwekwe utaratibu wa kupiga marufuku huu upuuzi unaofanywa na hawa wanaccm duni ili Masuala ya Kitaifa yasiwe ya Kichama .