Sandaland amezindua jezi mbovu za Simba kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
2,287
7,596
Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.

Screenshot 2023-11-22 151920.png
 
Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa
Hebu onyesha za kwako ambazo sio mbovu. Halafu ujue jezi hazichezi mpira uwanjani wala hazihusiki kwa matokeo kwenye mechi.
 
Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa
Tangu anaanza watu nikuponda tu ila ndio hizo hizo watu wanashine na wamepata tuzo ya jezi bora africa!
 
Back
Top Bottom