Samsung s4,t-mobile sgh-919

ghetopuzzle

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
440
504
Wakuu habarini ..
nina tatizo juu ya hii simu ya samsung s4 t-mobile sgh-919 ambayo inaonesha kuwa ina support mfumo wa network wa lte yani 4g kama sijakosea..lakini hii simu 4g yake haiko active na ukiwasha data inaonesha 4g iko active but haina nguvu
Nimejaribu kugoogle nkakuta ni simu iliyotengenezwa kwa matumiz ya u.s.a
Ninawezaje kuifanya hii simu isupport 4g kwa mitandao yetu?au labda kuna setting wataalamu?
Nawasilisha
 
Nimezicheki lakini nimeshindwa kuzielewa kwa kwel nazitumiaje maana cjawa mtaalamu wa it mkuu
mkuu ni ngumu, hadi kwa hao wataalam wa it ni ngumu. na hazina 100% kufanikiwa, unaweza fuata njia zote na isifanikiwe.

hapo tafuta tu simu nyengine yenye lte bands za Tanzania
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…