ICT_student_TZ
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 392
- 175
Habari zenu wadau....
Simu used samsung galaxy s3 inauzwa Bei Tsh 120,000 (inaweza kupungua).
Simu bado iko fresh haina tatzo lolote..na teyari nimeweka custom ROM ya (Lineage) na Android version iko 7.2 unaweza kuinstall app yyte.
Kama unahitaji mm nipo Temeke au njoo PM nikupatie contacts zangu za Whatsapp .