Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,727
- 1,565
Wakuu,
Nimekuwa nikitafiti kujua simu gani ya Samsung naweza kuipata kwa bajeti ya sh 500,000/- nikaona kwa kiasi hicho naweza kupata Samsung Galaxy A22 au Samsung Galaxy S8+ ya mwaka 2017.
Katika simu nimekuwa nahitaji features zifuatazo;
(i) A kioo angavu chenye resolution nzuri.
(ii) Camera nzuri
(iii) Display size iwe 6.2-6.5"
(iv) Attractive design
Kwa hizo simu nilizotaja hapo juu, S8+ inaoneka kuwa na features bora zaidi over A22.
Sasa ninachotakakujua ni kwamba je, kwa Dar naweza kupata simu mpya ya S8+ mwaka huu? Au zinakuwa ni refubrished?
Na kama S8+ mpya zipo je nitazipata kwenye maduka gani?