Samsung galaxy S4 Clone

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
341
54
Wakuu naombeni msaada wenu hv ni kweli samsung galaxy S4 Clone inafanana original kila kitu? hata uwezo wa net? na je kati ya nokia lumia 820 na hiyo clone ipi bora?
 
Wakuu naombeni msaada wenu hv ni kweli samsung galaxy S4 Clone inafanana original kila kitu? hata uwezo wa net? na je kati ya nokia lumia 820 na hiyo clone ipi bora?

ikishaitwa clone maana yake sio galaxy S4 ina kitu kinachofanana kabisa na hicho, wakati unaweza kuambiwa kwa uhakika specs na performance ya S4, hakuna anayeweza kukuambia kwa uhakika kuhusu clone, na sababu ni rahisi, clone inaweza kuwa imetengenezwa ya yeyote, kwa hiyo huwa hakuna standard clone.
 
kama lumia 820 ingekua android it would have been a no brainer lakini sasa kuna vingi vya kuamua.

kama bei hazitofautiani sana nenda nokia, at least ni brand so unanunua kitu ulicho na uhakika nacho, with the clone you are not sure up until umeijaribu
 
Mkuu kwa hiyo clone na used lumia 820 bora nn?

Clone zipo za aina pia mkuu
kuna,ila kikubwa inakuwa na utofauti kidogo na originala mf. original ikiwa na ram 2gb basi vlone inakuwa 1ghz

japo screen inakuwa sawa na mengine

ushauri kama lumia iko ktk hali nzuri chukua
 
Hizo "Samsung Galaxy S4" zinazouzwa Kariakoo shilingi 50,000 na ambazo walevi wanauziwa baa usiku kwa shilingi 400,000, hazistahili kuitwa kuitwa clones. Hizo ni simu feki zinazofanana na Samsung Galaxy S4.
 
Back
Top Bottom