Matata25
Member
- Feb 5, 2012
- 61
- 18
ndugu zangu nilipoteza samsung galaxy s3 week 2 zilizopita alafu niliinunua ebay cm hiyo ubay nilifuta e-mail so ikawa ngumu kupata imei number ya cm but niliwasiliana na seller alieniuzia bahati nzuri amenipa imei jamani nawezaj kuitrack simu yangu kutumia imei ili nitambuwe nani anaitumia au ipo maeneo gani?please naitaj msaada wenu ndugu zangu