SAMPLE YA MASWALI INTERVIEW ZA UALIMU NA TIPS ZA KUFANYA

Mliowahi kufanya saili uko private sectors tunawaomba MJE mtupe miongozo wakubwa wangu
Ingekuwa vizuri ukajiunga na group LA Usaili la walimu wenzio .

Japo kule private huwa wanauliza maswali ya jumla hasa katika haya mambo

Teaching Aid
Psychology
Chancellor and guidance
Measurement - mambo Assessment ,test ,evaluation na mitaala .

Curriculum kujua types zake Kama formal ,informal n.k

Kutokana na idadi kubwa ya wasailiwa nafikiri zitakuepo paper za hivyo hasa watakaofanya written .

All the best Nigger
 
Kuna jamaa nitakupatia namba yake nilikuwa najadili nae maswali kadhaa Ila unfortunately simu ilifuta kumbukumbu zote .

Now I'm very busy Ila nikikupa namba yake mnaweza kuwa mnafanya online class kila siku ili kujiandaa vizuri na Usaili .

Yeye kafundisha Sana hizo shule za private na ni mjuvi mzuri wa mambo

Nitaku-PM.
 
Wewe jiandae ukimtanguliza Mungu maswali ya utumishi yanapima uelewa zaidi na wala sio mengi ni maswali matano! Soma vyitu vya form one kama ni mtu ni wa hesabu usiangaike na maesabu wewe soma definition za topic husika mfano kwenye probability soma zile terms zote na kuzijua kuzidefine! What is statistics?? Nk base kwnye definition zaidi kuliko calculation

Kama unajua unajua tu! Na kama hujui hata ujiandae vipi utakamatwa tu
 
Nadhani jikite zaidi kwenye content ya somo lako walimu wengi sio competent kwenye MASOMO yao,unakuta mwl wa kingereza hawezi kutamka "dakika" kwa kingereza eti anasema "minats" pia teaching methodology ni muhimu pitia.eg how can you teach English tense to form one students?
 
Back
Top Bottom