Samia Health Specialisation Scholarship program 2024/25

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
1,209
773
SAMIA HEALTH SPECIALISATION SCHOLARSHIP PROGRAM 2024/25.

ORODHA YA WATAALAM WALIOPATA UFADHILI WA MASOMO MWAKA 2024/2025.

JINA LA PROGRAMU & IDADI YA NAFASI
1. Super-Specialization 44
2. Mmed (Specialization) 334
3. Mdent (Specialization) 8
4. MSc. Midwifery Specialization 14
5. MSc. Nursing Specialization 49
6. Mpharmacy- Specialization 18
7. MSc. Laboratory Specialization 16
8. Masters-Physiotherapy Specialization 2
9. MSc. in Occupational Therapy 1
10. Masters-Prothetic Specialization 1
11. MSc. in Clinical Psychology 1
12. MSc Nutrition 1
13. MSc Nutritional Epidemiology 11
14. Masters-Health Systems 3
15. MSc. in Parasitology and Medical Entomology 1
16. MSc-Environmental Health (Specialization) 11
17. MSc Epidemiology 11
18. MSc Clinical Research 3
19. MSc. Health Economics 2
20. MSCM & E 9
21. MPH 3
22. Masters Social Work 1

#SamiaAPP
#KaziIendelee
IMG-20241028-WA0071(1).jpg
IMG-20241028-WA0069.jpg
 
Hizi hela zingeeda tu kwingine kwa maono yangu ila yote heri,Kongole kwao wapambane na waitumie vizuri
 
Hizi hela zingeeda tu kwingine kwa maono yangu ila yote heri,Kongole kwao wapambane na waitumie vizuri
Aisee, Jifiche, wasije madaktari wanufaika wasikusikie. Maana siku ukiumwa na ukakutana nao kwenye 18 zao, unaweza ukaachwa kitandani bila huduma.
 
SAMIA HEALTH SPECIALISATION SCHOLARSHIP PROGRAM 2024/25.

ORODHA YA WATAALAM WALIOPATA UFADHILI WA MASOMO MWAKA 2024/2025.

JINA LA PROGRAMU & IDADI YA NAFASI
1. Super-Specialization 44
2. Mmed (Specialization) 334
3. Mdent (Specialization) 8
4. MSc. Midwifery Specialization 14
5. MSc. Nursing Specialization 49
6. Mpharmacy- Specialization 18
7. MSc. Laboratory Specialization 16
8. Masters-Physiotherapy Specialization 2
9. MSc. in Occupational Therapy 1
10. Masters-Prothetic Specialization 1
11. MSc. in Clinical Psychology 1
12. MSc Nutrition 1
13. MSc Nutritional Epidemiology 11
14. Masters-Health Systems 3
15. MSc. in Parasitology and Medical Entomology 1
16. MSc-Environmental Health (Specialization) 11
17. MSc Epidemiology 11
18. MSc Clinical Research 3
19. MSc. Health Economics 2
20. MSCM & E 9
21. MPH 3
22. Masters Social Work 1

#SamiaAPP
#KaziIendeleeView attachment 3137325View attachment 3137326
Ushauri: Jina la Nchi libadilishwe, Iitwe Samia
 
Kuna maswali natamani kuuliza ila roho inaniuma sana 😔
Hizi scholarship zinatolewa na Samia binafsi akiwa kama yeye au Prezidaa!? Na kama ni yeye binafsi je anatoa kwenye fungu la serikali? Au anatoa kwenye pochi yake?! Je hii haiwezi kuwa sehemu ya kampeni kwake kuelekea uchaguzi!? Aya bhana ngoja nikae kimya! 🏃‍♂️
 
Haya ndio maswali ya kujibu kwa wale wateteaji
 
Nchi imekuwa ya kijuha sana.pesa za umma lazima zihusishe jina la mtu fulani
 
Nimeshaomba iyo namba 15 tayari nikipata research yangu ni kutokomeza mbu wote tz hivyo dawa za maralia inabidi waangalie pa kuzipeleka mapema mama anaupiga mwingi mitano Tena halali yake
 
Back
Top Bottom