Sambusa tamu sana

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,609
Jamaa anaongezea vitamini zaidi kwenye hizo sambusa

Hivi hawa wauza sambusa huko mitaani wakibanwa haja ndogo au kubwa madumu yao ya sambusa huwa wanamuachia nani wakienda msalani?na wauza karanga je?
virutubisho muhimu
 

Hapo kwenye karanga umenikamata, maana ni mteja wa kudumu wa karanga za kuchoma, iwe za kwenye vimifuko au zile za kupimiwa kwa kijiko.
 
Hahaha waaoww ndio maana una afya nzuri
Hapo kwenye karanga umenikamata, maana ni mteja wa kudumu wa karanga za kuchoma, iwe za kwenye vimifuko au zile za kupimiwa kwa kijiko.
 
Hahaha waaoww ndio maana una afya nzuri

Unajua enzi zile tukiwa wadogo kijijini tulikuwa na utaratibu wa tukienda shamba kunakuwa na mihogo mnachoma, karanga au mahindi.

Mkivuna karanga kuna kuchima mbichi au zikikauka mnakaanga, sasa huku mjini hakuna hizo inabidi ufanye tu kununua zile zinazotembezwa. Ila sasa kwenye mambo ya usafi unajikausha tu maisha yanaendelea.
 
Nashukuru mungu sipendi kula vitu vya barabarani mana hata migahawa naangalia palivyo kwanza kama sijaridhika na mazingira sili
 
Jaman mtatuvunja miguu,nimeskia sambusa nkajua loh!mambo yetu Leo hadhalani,..bahati yanguu ii,kumbe mweh .....
 
Dhaa!! Unanitamanisha ujue
Bibie numbisa maana
Mm na sambusa pete na kidole

Ila co hzo za kuwekewa mguu


Zle za uswaz znakuaga na kachumbar
tena za motoo

Kuish uswaz raha thana
 
Ndo hizo hizo utajuaje kama ziliwekewa miguu huko zilipotokaka maana haachi alama ujue
Dhaa!! Unanitamanisha ujue
Bibie numbisa maana
Mm na sambusa pete na kidole

Ila co hzo za kuwekewa mguu


Zle za uswaz znakuaga na kachumbar
tena za motoo

Kuish uswaz raha thana
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…