INAUZWA Samaki fresh from Mwanza

lostid

Member
Dec 6, 2020
32
27
Anahitaji kufanya biashara ya samaki fresh kutoka Mwanza ziwa Victoria awasiliane na mimi nauza in bulk.

Pia wanaohitaji samaki kwa matumizi ya nyumbani karibuni tunauza ndoo kubwa na ndogo kwa bei poa.

Samaki wetu tunawasafirisha kwa ndege hivyo ukitoa oda na kulipia kesho yake unapata samaki wako wakiwa bado fresh. Bei zetu ni kama ifuatavyo;

Sato fresh ndoo ndogo 123,000
Sato fresh ndoo kubwa 216,000

Bei inajumuisha gharama za usafiri mpaka airport. Samaki ni wakubwa hotel size.

Tuwasiliane PM
Screenshot_20210408-132458_1617880957100.jpg
 
Kwa ukubwa wa sato kwenye hako kandoo kadogo si wanakaa 5 tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom