Habarini wakuu! Natumaini humu wote ni wazima wa afya.
Kuna kipindi fulana mama yangu alinunua kiwanja maeneo ya Kiluvya mpiiji mwaka 2013 ivi kama sikosei. Kumbe eneo lile lilikuwa na mgogoro baina ya serikali na wakazi wa pale mpaka ikapelekea baadhi ya nyumba kuvunjwa na pia na sikia hadi kuna shule ya serikali nayo pia ilivunjwa.
Ni muda sasa umepita na hii kesi ikapelekwa mahakamani na sijui imeishia wapi mwenye updates yoyote kuhusu hii kesi please namuomba anipe.

Ndio mkuu mgogoro bado hujaisha. Kuna shule ya serikali ilijengwa kule nayo imevunjwa, nyumba za watu zimevunjwa hadi ya Mwenyekiti wa mtaa nayo imevunjwa. Eneo la serikali wamemuuzia mwekezaji