Tetesi: Salum Mwalimu kutambulishwa CCM Jumapili

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Jun 22, 2023
670
2,419
Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu.

Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma usiku wa kuamkia Jumapili, zimesha andaliwa.

Gari inayotarajiwa kumbeba kesho usiku kumpeleka Dodoma ni ile VX LC200 aliyokuwa anatumia SG wa CCM kabla ya hiyo ya sasa LC300.

Ifahamike, kwa sasa Salum Mwalimu anajifanya yupo bega kwa bega na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 21/01 kama zuga tu ilhali analo lake kichwani.
 
Wewe lini kutambulishwa?
 
Huyu ndio nani???

Mbona anafanana jina na jamaa mmoja alikua Headboy wa Azania miaka ya 2000 hivi
 
Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu.

Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma usiku wa kuamkia Jumapili, zimesha andaliwa.

Gari inayotarajiwa kumbeba kesho usiku kumpeleka Dodoma ni ile VX LC200 aliyokuwa anatumia SG wa CCM kabla ya hiyo ya sasa LC300.

Ifahamike, kwa sasa Salum Mwalimu anajifanya yupo bega kwa bega na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 21/01 kama zuga tu ilhali analo lake kichwani.
Tatizo ni bei ya mkaa. Bei ya mkaaa beiiiiii
 
Duh...!
P
 
Back
Top Bottom