Umewahi kuwasikiliza wa Wapo Radio utadhani wanafunzi wa kidato cha kwanza wako darasani!Napenda sana kuskiliza radio hususani vipindi vya uchambuzi wa kisiasa, basi nimeanza kuskiliza clouds kipindi Morning magic ule uchambuzi wa Kibwana Dachi napenda kwa kweli.
Lakini mwendeshaji mkuu wa kipindi hiki bwana Salum Mkambala amekuwa ni shida, jamaa ni mtupu kichwani.
Kila anapojaribu kuchangia jambo ni uzwazwa mtupu. Sijui ana elimu gani jamaa. Yaani haeleweki.
Magic Fm uongozi kwani huwa hamsikilizi vipindi vyenu. Huyu jamaa anaharibu mwenendo wa hiki kipindi cha Morning Magic hususani kwenye mambo ya uchambuzi.
Usikute jamaa kasoma TEQUNapenda sana kuskiliza radio hususani vipindi vya uchambuzi wa kisiasa, basi nimeanza kuskiliza clouds kipindi Morning magic ule uchambuzi wa Kibwana Dachi napenda kwa kweli.
Lakini mwendeshaji mkuu wa kipindi hiki bwana Salum Mkambala amekuwa ni shida, jamaa ni mtupu kichwani.
Kila anapojaribu kuchangia jambo ni uzwazwa mtupu. Sijui ana elimu gani jamaa. Yaani haeleweki.
Magic Fm uongozi kwani huwa hamsikilizi vipindi vyenu. Huyu jamaa anaharibu mwenendo wa hiki kipindi cha Morning Magic hususani kwenye mambo ya uchambuzi.
Jamaa ni zaidi ya mjinga sijui kasoma wapi uandishi mtupu na mtu wa hovyo kabisa.Napenda sana kuskiliza radio hususani vipindi vya uchambuzi wa kisiasa, basi nimeanza kuskiliza clouds kipindi Morning magic ule uchambuzi wa Kibwana Dachi napenda kwa kweli.
Lakini mwendeshaji mkuu wa kipindi hiki bwana Salum Mkambala amekuwa ni shida, jamaa ni mtupu kichwani.
Kila anapojaribu kuchangia jambo ni uzwazwa mtupu. Sijui ana elimu gani jamaa. Yaani haeleweki.
Magic Fm uongozi kwani huwa hamsikilizi vipindi vyenu. Huyu jamaa anaharibu mwenendo wa hiki kipindi cha Morning Magic hususani kwenye mambo ya uchambuzi.
Upo sahihi NAKAZIA ASILIMIA KUBWA SANA NI WAJINGA.Kwa ufupi wanahabari wengi Tz hawaelewi mambo wanayoongelea na wala hawafanyi hata itafiti.Binafsi huwa sisikilizi kabisa redio wala kuangalia mijadala ya tv maana asilimia kubwa sana HAWAELEWI wanachoongea. Unaweza kusikiliza majadiliano mfano yanaongelea idqra unayofanyia kazi au fani ulosomea. Ukisikiliza hoja zao unagundua ni watu wanaamka asubuhi wanaingia kazini kuongea tu kusukuma muda bila kujalia wala kujua kuwa wanaongea uongo, na ndio wamekuwa wa kwanza kupotosha jamii..ukizingatia jamii yetu pia ina asilimia kubwa ya watu wasiopenda kutumia akili wala kufanya utafiti. Uandishi wa habari ni zaidi ya kusomea huo uandishi, ni kazi inayohitaji uelewa katika nyanja ya unachokiongelea. Unakuta mtu kasomea uandishi kaajiriwa kwa cheti, ila nje ya hapo haelewi hata kinachoendelea kwenye issues anazoziripoti ama anazozifanyia mjadala.
WALE WA KUJITETEA " NIMESEMA ASILIMIA KUBWA...Kama upo kwenye hiyo asilimia kubwa ndo unipinge
Huyu ni sifuriNapenda sana kuskiliza radio hususani vipindi vya uchambuzi wa kisiasa, basi nimeanza kuskiliza clouds kipindi Morning magic ule uchambuzi wa Kibwana Dachi napenda kwa kweli.
Lakini mwendeshaji mkuu wa kipindi hiki bwana Salum Mkambala amekuwa ni shida, jamaa ni mtupu kichwani.
Kila anapojaribu kuchangia jambo ni uzwazwa mtupu. Sijui ana elimu gani jamaa. Yaani haeleweki.
Magic Fm uongozi kwani huwa hamsikilizi vipindi vyenu. Huyu jamaa anaharibu mwenendo wa hiki kipindi cha Morning Magic hususani kwenye mambo ya uchambuzi.
Au wenye hizo taaluma ndio wanapaswa kusomea uandishi wa habari.Ili wawe na uweledi kwenye taaluma zao, baada ya kuhitimu kusoma shahada ya uanahabari, walipaswa kusoma taaluma zingine kama mazingira, uchumi, tiba, sayansi, technology, siasa, finance etc. Ili kusudi akiwa anaandika au kujadili anakuwa na mambo makubwa na mazito katika mjadala.
Mzee,huku niliko kuna kiredio chao ,weeeeeUmewahi kuwasikiliza wa Wapo Radio utadhani wanafunzi wa kidato cha kwanza wako darasani!