Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,970
- 3,635
Napenda sana kuskiliza radio hususani vipindi vya uchambuzi wa kisiasa, basi nimeanza kuskiliza Magic Fm kipindi Morning magic ule uchambuzi wa Kibwana Dachi napenda kwa kweli.
Lakini mwendeshaji mkuu wa kipindi hiki bwana Salum Mkambala amekuwa ni shida, jamaa ni mtupu kichwani.
Kila anapojaribu kuchangia jambo ni uzwazwa mtupu. Sijui ana elimu gani jamaa. Yaani haeleweki.
Magic Fm uongozi kwani huwa hamsikilizi vipindi vyenu. Huyu jamaa anaharibu mwenendo wa hiki kipindi cha Morning Magic hususani kwenye mambo ya uchambuzi.