Salim Kikeke: Ili ufikie Umahiri wa Kina Tido Mhando Lazima Ukwepe Kutumiwa

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
40,381
72,898
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.

Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?

Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya CHADEMA lakini Kikeke kataka na kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!

Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya CHADEMA.

Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.

Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.

Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.

View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc
 
Shida ya watanzania mtu akihoji maswali chokonozi basi wa upande mwingine wanasema anatumiwa. Ingekuwa kamhoji maswali ya kichokonozi makamba hapo angepewa sifa na upande mwingine
Yaani neno kutumiwa linatumika vibaya sana. Linatunyima utashi wetu na haki yetu ya kutaka kitu flani binafsi bila ya kutaka kumridhisha mtu. Mtu anabaka kikongwe na kuua ila kuna watu wanamsingizia mambo ya kishirikina wakati ni utashi wake tu mtu.
 
Kikeke alikuwa akihoji yale madai ya Msigwa ambaye alituaminisha kuwa kuna mgogoro katika ngazi za juu za DEMA.

Na Lissu amefunguka vizuri tu, na sisi WASIKILIZAJI TUMEFAIDIKA sana, kujua kumbe asilimia kubwa ya madai ya Msigwa yalikuwa ni Porojo.
 
Tatizo ni pale unapotaka aulize maswali ya kukufurahisha wewe, kwanini huwa hampendi challenge!!??,.. kauliza maswali mazito umekimbilia kufungua thread bila kutoa majibu. Si utoe majibu hapa kama aliyeulizwa kachemka kujibu!?, chuki ya nini!???
Usiwe bwege bwana! Nawe tafuta nini alisema Mrema uje uone kwa nini nasema Kikeke anamlisha maneno Mrema ambayo hajasema?
 
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.

View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc

Yani Salim Kikeke akabadilisha muonekano wake yani anakaa na kufanana kama jambazi. Wamtumie Awadhi amshughulikie.

20240817_105229.jpg
 
Hakuna mwanahabari wa kufikia viwango vya weredi kwa huyu mwamba, hakuna kitu kibaya chochote kile alicho hoji kama angeongea jambo lolote la hovyo Lisu ambavyo hua hapendi kuondoka na deni lazima angeshuka nae jumla jumla, yuko sahihi kabisa ni vile tuu aliuliza usichotaka kusikia
 
Chakaza uko very correct! Nilishangaa sana mtu kutoka BBC kuja huku kwenye "mavi" ya taaluma ya utangazaji ambayo inakuwa monitored/censured na serikali. At any rate, lazima Kikeke awe "takataka" kama akina Kitenge na takataka zingine za humu!

Utaona hata hapa JF ukiweka sensitive heading kwenye thread ambayo ina i criticise serikali, wana edit kuweka lugha laini! Si mbaya sana kwa vile wanalinda chombo chao kutofungiwa na serikali. Sasa Kikeke asingetoka huko ambako anaweza uliza swali lolote akawa salama akaja huku kwa mashetani
 
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.

View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc

Ntarudi baada ya kusikiliza kwa umakini. Nawajibika sasa kuanza kutumikia uandishi wenye dhima kuu ya weledi hasa wa maudhui ukiachilia mbali comedian writings zangu baadhi
 
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.

View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc

Yaani kisa kauliza maswali yanayokwaza chama chalk basi anakua low!!?..nyie wavaa kombati mna shida sana
 
Yani Salim Kikeke akabadilisha muonekano wake yani anakaa na kufanana kama jambazi. Wamtumie Awadhi amshughulikie.

View attachment 3072300
London alikuwa anaogopa kuonekana muislamu wa siasa kali (maana wenye nmandevu na suruali fupi wana wanakuwa na Islamic fundamentalism ndani yake) which leads one to suspect you of having a link with ugaidi
 
Niemirudia mara mbili sijaona alipokosea

Muandishi wa Habari ndo unapaswa uwe hivo

Uulize maswali makali ya kuchokonoa ili yachokonolewe!

Kuna umuhimu wa kujibiwa Kama Lissu alivyojibu,

Tanzania ya sasa inatakiwa mtu aulizwe hivo kwa kuchokonoa

Na interview zake uwa Ziko hivo hata alivyoenda kuhoji RPC alimbana maswali akajikanyaga

Kikeke na Odemba ndo nawasikiliza sasa na ageingia Salama Jabir hawa watu wako makin sana

Britanicca
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom