johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,098
- 164,455
Mnec wa Mkoa wa Iringa Komredi Salim ASAS amesema hapa tulipo Uongozi CCM umekuwa kama Mnada Watu wanapandishiana Dau kwa Wajumbe Ili kuununua
ASAS ameonya hali hii ikiachwa Iendelee itakivuruga chama na kukigawa kwa sababu ni Matajiri tu Ndio watakuwa Uongozini
ASAS amewataka Wanaccm wenzake kuikemea Hali hii kwa nguvu zote kwani wakizubaa Chama kitatekwa na wenye Fedha kwa manufaa yao binafsi
Credit: Kitenge Tv