Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 144
- 422
Ndugu zangu watz, niko pamoja nanyi kwenye kipindi hiki kigumu tukiendelea cha kuomboleza ndugu zetu waliofukiwa na jengo huko Kariakoo. Poleni watu wote mliofiwa, mlionusurika na majeruhi. Kwa kweli nafurahishwa daima na umoja ambao daima unaonekana wakati wa majanga kama haya.
Nirudi kwenye mada, sitaki kutukana utaalamu wa yeyote, wawe wakandarasi, waandishi, madaktari nk kwa kuwa hata mimi kwenye utaalamu wangu huwa nakosea. Tofauti yangu na wengine nikikosea huwa naweza wazi na kwa huku nilipo naona mtu kuwa muwazi kwamba hapa nimekosea nita-improve ni jambo la kawaida.
Haya niwaambia Bunge, website yenu imekosea neno la kiingereza "Experience" nyie mmendika "Expirience" hilo neno halipo kwenye kamusi ya Kiingereza. Basi tufanye juhudi kurekebisha neno hili dogo. Nikija na mawazo ya kusema tuboreshe barabara za mitaa ya Kariakoo, au kuboresha means za rescue Kariakoo nitakuwa napigia mbuzi gitaa.
Kwa ukumbusho tu, Kariakoo ni sehemu muhimu kwa uchumi wa Dar tumeshapata majanga ya moto na majengo kuanguka zaidi ya mara moja tuboreshe namna za wokozi pale. Au msiboreshe anzeni kwanza na haka kaneno kwenye website ya bunge, hili halihitaji kuomba misaada.
Salamu kutoka kwa Trump