Salamu kutoka Marekani: Nimejiona mnyonge kuona wadau wanavyotambulisha wapenzi wao

Prof Janabi wa JF

Senior Member
Jul 7, 2023
142
417
Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho.

Basi mtu anasimama anajitambulisha halafu unakuta anasema "Yule mrembo pale ni mke wangu nina miaka 20 tangu tuoane". Watu tunapiga makofi. Au mtu anatambulisha mumewe kwa uzuri.

Sasa walikuwa watu watatu kabla ya mimi kujitambulisha. Basi zamu yangu ilipofika kiunyonge nikasimama, nikakohoa kuweka koo sawa.

Nikasema kwa sauti "Mimi ni Prof Janabi wa JF", natokea Tanzania. Kwenye kipengele cha familia nikaangalia mkono wangu wa kushoto. Huu mkono wa kushoto unanisaidia shughuli nyingi sana ikiwemo kuufunga saa. Kisha macho yangu yakahamia kwenye sabuni, nikaziangalia nikasema sina haja ya kuongea zaidi.

Nikamalizia kwa kusema asante nikakaa kinyonge sana.

Nawasilisha.
Ni mimi mshamba anayewakilisha Tanzania Marekani
 
Kumeanza kuchangamka
FB_IMG_1721976726647.jpg
 
Kwako wewe kazi ya mke ni kupigana kwa vikojoleo tuu ndio mana ukaona mkono wa kushoto wenye sabuni ni mkeo sio
 
Utamu wa dada ako unaweza ukakupa furaha ya muda na kujidanganya ngoja shemeji ako apate mchepuko muda utaongea.
 
Back
Top Bottom