Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,349
- 7,639
You too dearest 😘
SuzieWadau hamjamboni nyote?
Mtakie sikukuu njema ya noeli Kwa sentence moja memba mmoja tu wa JF kwa kumtaja jina lake
Binafsi niwatakie sikukuu njema yenye kila aina ya furaha.
Siku njema
Miss you more mdogo angu, ahsante kwa salaam.....tutafutane weekend.🥰1.Kwako Dada Evelyn Salt nimekumiss mno 😀😀 fanya tutoke wine juu yangu kisinia utanunua wewe
Nakutakia heri ya mwaka mpya
AsanteNakutakia heri ya mwaka mpya
Uko wapi nije na mchinjaji hatuna mboga y’a sikukuu huku 😹😹Nawatakia baya lolote liwapate Lamomy na BICHWA KOMWE -
Niko pale pale pa siku zote unaponikutaga, sina mizunguko mingi mm 😎Uko wapi nije na mchinjaji hatuna mboga y’a sikukuu huku 😹😹