SALAAM ZA NOELI: Naomba umtakie sikukuu njema yenye baraka na furaha memba mmoja tu wa JF kwa kumtaja jina lake

Merry Christmas wanywaji na walevi wote itoshe kusema nawapenda Sana ndugu zangu ,kwenu napata upendo na kuthamini kusikomithirika hakika ninyi ni ndugu .

Natamani kuwataja walau kwa uchache Ila kwakuwa walio gizani juu ya starehe hii watakuja kujifanya wanatujua Sana hivyo endeleeni kufuruhia

Tukutane mapacha _lounge_Songwe siku ya kesho nitakuwa pale kutoka saa moja asubuhi mpaka majogoo ,tafadhali usikae kinyonge nitafurahi mkijongea walau tufurahi pamoja .
 
Back
Top Bottom