Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,320
- 13,312
Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana.
Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo una kiswahili cha kificho ama tafsida.
Ni aibu sana kuwa na Waziri mkurupuko na mshamba kama Mkenda, he fell short of the recent world.
Watanzania endapo mtashindwa kuelewa kuwa huyu Waziri ni kilaza na kakurupuka na ana mihemko ya kishamba ipo siku mtaumbuka.
Ni akili finyu isiyojua nchi hii kwa mapana na mambo yanayojiri kila sehemu kila siku.
Huyu Waziri anaingia kwenye orodha ya mawaziri wenye mkurupuko na washamba kuwahi kutokea katika nchi hii.
Wazira kilaza hajui kitu katika tasnia ya mziki na sanaa.
Nimekwazika na ufala, ushamba unaongezeka kila kukicha. Hatuwezi kusimama wakati Dunia inakimbia things are changing, zama hazigandi zinabadirika daily.
Tuna viongozi baadhi washamba hadi kero.
Soma:
- Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)
- Walimu walioshushwa vyeo na kusimamishwa kazi kisa Wimbo wa "Honey" warejeshwa kazini