kwa sasa tanzania hatuna vyombo vya habari bali...
We unawaona wanawake hao wanasimamia hoja yenye mashiko kweli? Sidhani, zaidi walitaka publicity tu. Wasiende tena bungeni kama wana hasira kweli.Bila shaka wengi tunakumbuka sakata la wabunge wa kike wa upinzani kudhalilishwa utu wao bungeni kwa hoja kwamba wameweza kuwa wabunge kwa kuwa na mahusiano na viongozi wakuu wa vyama vyao. Kama jamii inatupasa kukemea tabia hii chafu ya watu kuropoka kwa mihemko ya kisiasa kwa kuwa waliodhalilishwa ni mama zetu, dada zetu na ndungu zetu pia. Vyombo vya habari vilipaswa kukemea jambo hili kwa kuelimisha na kuonya juu ya tabia hii kupitia tahariri zao mbalimbali. Cha ajabu vyombo hivi hasa magazeti yanaripoti katika mtindo wa kushangilia yaliyotokea. Nilitegemea tafakuli za kina juu ya udhalilishaji huu katika njia ya kuelimisha na kuonya. Sasa ni lini mbunge aliyetoa kauli ile atajifunza kuwa ni vibaya kudhalilisha utu wa binadamu. Mbaya zaidi alisahau kuwa mama yake (RIP) naye alikuwa ni mbunge wa kike. Sasa alitaka kufikisha ujumbe kwamba mtindo kama huo ulitumika kumpitisha kugombea ubunge? Mimi binafsi sidhani kama ni hivyo.
Chondechonde vyombo vya habari acheni kuripori katika mtindo wa ushangiliaji bila tafakuli katika baadhi ya mambo ambayo ni nyeti.
Sahau kuhusu uongozi wa Bunge kuchukua hatua yoyote katika hilo subiri reaction itakayo tokea wakiguswa ccm na jambo kama hilo hapo ndio mfupi atakuwa mrefu na mrefu ata kuwa mfupi.swala hapa sio vyombo vya habari. Swala ni Je! Aliyekuwa anaendesha kikao cha bunge Alichukua hatuagani kwa yule Mwenda wazimu Aliyeropoka upuuzi uo?
Pili Spika wa bunge, Je! Yeye kama kiongozi mkuu wa bunge Amechukua hatua gani kwa huyo mwenda wazimu?
Je! Kamati za maadili zipotu kwaajili ya Wapinzani na ccm wakitukana ni sawa? Pasipo kuchukuliwa hatua yeyote?
Akili mbovu tu! Hapa tunajadili Mbunge kuzungumza hayo aliyoyasema, nawe unauliza ili tukupe proof gani? Au bado unadhani JF ni kijiwe cha burudani. Energize your cerebral!Jamani kwa hakuna wabunge walioingia baada ya kuchezea Dyudyu za wakubwa?
It is absolutely true.swala hapa sio vyombo vya habari. Swala ni Je! Aliyekuwa anaendesha kikao cha bunge Alichukua hatuagani kwa yule Mwenda wazimu Aliyeropoka upuuzi uo?
Pili Spika wa bunge, Je! Yeye kama kiongozi mkuu wa bunge Amechukua hatua gani kwa huyo mwenda wazimu?
Je! Kamati za maadili zipotu kwaajili ya Wapinzani na ccm wakitukana ni sawa? Pasipo kuchukuliwa hatua yeyote?
Wewe ulitaka walie na kutoa machozi ndiyo uone hawakuridhishwa na kitendo cha mwanamama mwenzao Dr Tulia, ambaye naye ni wa viti maalum, aliyeamua 'kushabikia' kauli hizo za udhalilishaji?Walioguswa na ule msemo ni wachache sana wengi walikua wanafuata mkumbo, man wanaimba solidarity forever na vigelegele, wanashangalia uku wakichekelea kuchukuliwa na camera, hivi kwa mtindo huu ni kweli wameguswa na udhalilishaji huo ?
Jungu kuu hakosi wa kuliwaKubenea alijuaje kwamba kuna wabunge wanavaa shanga??
Sasa kama Mbunge kaongea ukweli tatizo liko wapi?Akili mbovu tu! Hapa tunajadili Mbunge kuzungumza hayo aliyoyasema, nawe unauliza ili tukupe proof gani? Au bado unadhani JF ni kijiwe cha burudani. Energize your cerebral!