Sakata la Vyeti: Waziri Palamagamba Kabudi atajwa kuwasilisha vyeti pungufu

MpiganiaUhuru

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
777
912
Ni ndani ya document iliyotolewa kwa jina la 'Taasisi_Incomplete' ambayo inazungumzia wale watumishi ambao hawakupeleka baadhi ya vyeti na kupelekea kuondolewa kwenye 'payroll'. Ikumbukwe kuwa tarehe 15/5/2017 watumishi wote walioshindwa kuthibitisha elimu yao ya sekondari watafukuzwa kazi! Kwenye hiyo doc yupo na. 592, kazi ipo!



 
Mkuu kichwa chako cha habari hakiendani na mchango wako. Hawa wana taarifa ambazo sio kamilifu, nadhani kuna vyeti vimekosekana na sio kwamba wana vyeti feki. Naamini hivyo ni vitu viwili tofauti.
 
Mkuu kichwa chako cha habari hakiendani na mchango wako. Hawa wana taarifa ambazo sio kamilifu, nadhani kuna vyeti vimekosekana na sio kwamba wana vyeti feki. Naamini hivyo ni vitu viwili tofauti.
Mkuu Hawa hawana tu hivyo vyeti makanjanja tu Hawa.unadhani ingekua wewe unaomba admission hujasubmit vyeti vyote ungepata chuo?
 
ila watanzanian wengi ni vilaza, wanafiki...hamna hanari ya cheti feki hapo

wakati wa uhakiki hawakupeleka hivyo vyeti kwa sababu mbalimbali

walikuwa bize
walikiwa nje ya nchi
wamesoma nje hivyo necta wanahakiki na aliosoma

status inaonyesha ni incomplete, haina maana ni vyeti feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…